Kweli vyuo vyetu siku hizi maadili hamna yaani badala ya kusoma wadada hawa wamebuni namna ya kuwafundisha wengine namna ya kumhandle mwanaume....
Inasemekana haka kamtindo kameenea sana baada ya wanachuo wengi hasa wanaotoka vivijin kutofahamu staili mbalimbali hivyo hufurahia sana lesson hiyo.