PICHA BASI MARA BAADA YA KUZIMIKA
Leo tar 18/02/2014 wasafiri wa basi la kampuni ya Bunda Express inatoka Dodoma kwenda Musoma kupitia Singida,Shinyanga, na Mwanza, safari yao illingia dosali ndogo pale basi lao lilipoishiwa mafuta eneo la Missungwi kilomita chache kuingia jijini Mwanza. Abiria walilazimika kukaa kwa takribani nusu saa hiv kabla mafutwa hayaletwa kutoka kituo cha mafuta kilichokuwa karibu na eneo basi lilipozimika. Inasemekana kuzimika kwa basi hilo kunatokana na itilafu ndogo iliyojitokeza katika tank la mafuta hivyo kupelekea mafuta kuvuja.
Hata hivyo mara tu baada ya kuweka mafuta basi liliondoka na kufika Mwanza mapema kabla ya kuendelea na safari yake ya Musoma.
PICHA WAHUSIKA WAKIJADILI CHA KUFANYA
ABIRIA WAKISUBIRI UTARATIBU UFANYIKE
PICHA ABIRIA WAKILANDALANDA
PICHA ABIRIA WAKIENDELEA KUSUBIRI MAFUTA
PICHA WAHUSIKA WAKIWEKA MAFUTA BAADA YA KULETWA