Waziri
wa Nchi ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Ndugu Stephen Wassira
akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuhojiwa na kamati ya
maadili ambapo alisema hakukuwa na tuhuma zozote zaidi ya mashauriano na
alisisitiza yeye kamwe hawezi shiriki kukivunja chama. (Picha na Adam
Mzee.)
Naibu
Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba
akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa White House mara
baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili.
Naibu
Waziri wa
Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akiondoka
kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi mara baada ya kuhojiwa na
Kamati ya Maadili.