Pages

February 17, 2014

LULU Alipotinga Mahakamani Leo Jijini DAR…!!

LULU 1
STAA wa filamu BongoElizabeth Michael ‘Lulu’ ametinga ndani ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam akiambatana na msanii maarufu wa filamu Bongo, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ tayari kusikiliza kesi yake inayomkabili juu ya kifo cha marehemu Steven Kanumba!
Lulu amewasili mahakamani hapo bila wasiwasi wowote na kwenda kukaa akisubiri kesi yake kuanza.