Diamond Platinum.
Msanii nguli katika kuiga sauti za watu maarufu MC Babu Ayoub aliyewahi kutamba na wimbo wa chaja ya kobeameibuka na kusema mkali wa ngololo Diamond si mchawi.Mkali huyu wa kibao cha chaja ya kobe ambaye pia aliwahi kushiriki katika wimbo wa ndiyo mzee wa Prof.J alifunguka mbele ya mwandishi wetu.
Msanii nguli katika kuiga sauti za watu maarufu MC Babu Ayoub.
Alisema “Diamond si mchawi ila anajithamini kama msanii,anajua umuhimu wake anajitambua na hata kama hajitambui basi anawashauri wazuri kwa maana ya menejiment.anajituma kwani anajua kucheza na muda na yuko kibiashara zaidi si kama wasanii wengine waliowahi kuhit,jamaa najua pia kucheza na media ,ukimpa nafasi hafanyi makosa.Aidha msanii huyu anayetegemea kuja na kibao chake kipya amedai msanii Diamond ana haki ya kuwa hapo alipo lakini pia itakuwa ni fundisho kwa wasanii wengine waliohiti na watakaohit