Mwendesha bodaboda mzungu raia wa Poland, Kamil Arkadiusz
akisubiri abiria katika Kituo cha Bamaga, Dar es Salaam hivi karibuni
kabla ya kukamatwa na kurejeshwa kwao baada ya kupatikana na hatia ya
kuishi isivyo halali kutokana na hati yake ya kuishi nchini yenye namba
02514443 iliyotolewa Novemba mwaka jana, kumalizika muda wake.