Pages

February 17, 2014

Daladala zagoma Jijini Mwanza zikidai Nyongeza ya Nauli…. Abiria nao waamua kutumia Malori, baiskeli kusafiria.

Madereva  wa  daladala  jijini  Mwanza  leo  wameamua  kugoma  kutoa  huduma  hiyo  muhimu  kwa  jamii  wakiishinikiza  serikali  kupandisha  nauli  na  kupunguza  faini  pindi  wanapokamatwa  na  askari  wa  usalama  barabarani….
 
Baada  ya  mgomo  huo  kuanza, abiria     walimua   kutumia  Malori, baiskeli, Toyo Kilimo  na  pikipiki  kama  njia  mbadala  ya  kusafiria.