Pages

February 11, 2014

BAADA YA KUAMBIWA ANA ENDASHA MCHEZO WA KITAPELI WA TELEX FREE...HATIMAYE JOYCE KIRIA AWAJIBU WOTE KUHUSIANA NA SAKATA HILO

JOYCE KIRIA

 HII CHINI NI POST ILIYO WEKWA NA MANGE KIMAMBI KUHUSIANA NA TELEX FREE HIYO JANA...NDO IKATUBIDI TUMTAFUTE MUHUSIKA AMBAYE NI JOYCE KIRIA


 >>>>HAYA CHINI  NDO MAJIBU YA JOYCE KIRIA<<<<<
MWANA DADA JOYCE KIRIA HATIMAYE AMEWEZA KUWEKA WAZI KUHUSIANA NA MCHEZO AUENDESHAO UJULIKANAO KAMA TELEX FREE..HUU NI MCHEZO AMBAO MTU UNAJIPATIA PESA KWA URAHISI BILA HATAYA KUTOA JASHO..KUTOKANA NA
HABARI NYINGI KUANZA KUSAMBAA  KWA KASI KWAMBA HUU MCHEZO NI WA KITAPELI .HATIMAYE MTANDAO WA THECHOICE ULIWEZA KUMTAFUTA MUHUSIKA MWENYEWE JOYCE KIRIA ILI AWEZE KUWEKA BAYANA JUU YA JAMBO HILI.
  JOYCE AMEUAMBIA HUU MTANDAO WA THECHOICE KUWA HUU MCHEZO NI HARALI NA SIO WA KITAPERI KAMA JINSI WATU WANAVYO AMBIWA..PIA KASEMA IKIWA MTU AKITUMIA GOOGLE HATA PATA MAJIBU MAZURI JUU YA TELEX FREE KWANI GOOGLE NI WAPINZANI WA TELEX FREE..PIA AKAONGEZA KWA MTU ATAKAYE TAKA KUJUA ZAIDI JUU YA HII KITU ,KWA WATU WA DAR SEMINA ZINAENDESHWA KILA SIKU YA JUMA NNE  NA ALHAMISI KATIKA HOTELI YA HOLDAY IN. AU WAWEZA MUULIZA YEYE MWENYEWE MOJA KWA MOJA KWA NAMBA HII..0783 137 777