Pages

February 18, 2014

Sikilza hapa Wimbo Mpya wa Juma Nature Aliomponda Diamond na kumwita ‘Dada Mondi’

Juma Nature amemdiss Diamond kwenye wimbo wake mpya? Hilo ndio swali kila mmoja anajiuliza baada ya kusikia wimbo wake huo uitwao ‘Kama Jana’ aliomshirikisha Lady Jaydee.
nature
Mstari unaosema ‘Usiwe limbukeni wewe Dada Mondi, wakikuita mashabiki unakula bundi’ Kukata kiuno sana kwani ndio ufundi?
Katika wimbo huo Juma Nature anazungumzia kuhusu muziki wake wa zamani na kwamba hawezi kubadilika na kufanya kama wasanii wanaochipukia.
nature


Usikilize hapo chini.
<<BOFYA HAPA KUSIKILIZA>>