Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 38 wamejeruhiwa vibaya kufuatia ajali ya basi la Bunda Express walilokuwa wakisafirikia kutoka Dodoma kwenda Mwanza kugongana na Treni eneo la Manyoni Mkoani Singida.
Majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa katika Hospitali ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida.