Pages

February 14, 2014

DIRA YA DUNIA TV YAZUNGUMZA NA MHE. RAISI JAKAYA KIKWETE KUHUSU WANYAMA PORI

Prince Charles na waziri mkuu wa Uingereza David Cameron ni miongoni mwa wenyeji wa mkutano wa kimataifa mjini London, wenye lengo la kuzuia uwindaji wa wanyama waliohatarini kutoweka.
Biashara hiyo yenye kuingiza takriban dola bilioni 19 kwa mwaka, imeenea kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya pembe za ndovu nchini China.
Zuhura Yunus amezungumza na Rais wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Kikwete kuhusu janga hilo linaloikumba nchi hiyo mwanzo kujua wanakabiliana nalo vipi.