Pages

February 14, 2014

Download na Sikiliza Nyimbo Mpya ya Msanii Marehemu MANGWEA – ALMA (OFFICIAL NEW SONG)

ngwea
Chukua muda wako kuisikiliza ngoama hii mpya kutoka kwa marehemu Albert Mangwea aliyomshirikisha Mirror iitwayo ‘Alma’.
Ngoma hii ambayo imekuwa ikitambulishwa rasmi na mama yake mzazi pamoja na uongozi wa Rader Entertainment ilifanywa kwa Bob Manecky pale AM Records enzi za uhai wake na ilikuwa itoke mwaka jana wakati wa Valentine lakini aliiahirisha yeye mwenyewe Ngwea. Na ‘ALMA’ ni kifupi cha jina lake Albert Mangwea.
fungua hapa