Aunty Lulu.
LULU Semagongo aliye mtangazaji na msanii wa filamu Bongo, amedaiwa kupewa kipigo cha haja na mpenzi wake aliyetajwa kwa jina moja la Amani hivyo kujificha nyumbani akijiuguza majeraha aliyopata. Gazeti hili lilimvutia waya Lulu na kumsomea mashitaka yake, akajibu: “Nani amewaambia hizi habari? Hata hivyo kuna jipya gani mtu kupigwa na mpenzi wake? Ni kweli nimepigwa, haya sasa mnasemaje? Nyie kinawauma nini? Huyu ndiye mpenzi wangu na