Namaanisha Mdada awe na zaidi ya miaka 32 na kwa Mwanaume miaka 40
Hasara zake ni hizi hapa
1. Kwa Wadada:
Menopause now starts earlier. Sifahamu hii hali ni sababu za kimazingira ama nini. Mdada ambaye amechelewa kuolewa huwa ana panic na anakuwa na uwoga wa kupata watoto. Na kitaalamu huwa wana delay kufanikiwa kupata mimba tofauti na wasichana wenye umri mdogo. Mdada mwenye umri zaidi ya miaka 35 also miscarry easily na huwa wanapata tabu sana pindi wakiwa wanazaa.
Pia kama mdada aja olewa mapema, wanakuwa waoga na awapo makini kumchagua mwanaume aliye sahihi (Mr Right) badala yake wengi wanaanguka katika watu siyo sahihi (Mr Available). Wanakuwa wanafanya wrong choice na ndoa zinakuwa failed.
Pindi mke akiwa ameolewe akileta mawazo yake kwa mume, mume anakuwa na wasiwasi labda anajihisi huyo mwanamke (Mke) anamuona as if yeye ni Gold diggers and opportunists hasa akiwa anauwezo wa kutosha.
Vizuri kuolewa mapema na kukuwa na hilo pendo na mtu ambaye mlianza wote kusaka maisha kuliko kumkuta mtu ambaye tayari anamaisha yake mazuri. Hivyo sasa thamani ya mke katika ushauri aipewi nafasi kubwa na ndipo mitikisiko ya ndoa uanza.
2.Kwa wanaume:
Wewe mwanaume wa Kitanzania penda au usipende, ukweli ni kwamba mbegu za kiume pia zimekuwa zimesha pungua (uwezo wa kuzalisha) kutokana na umri. Unanza kulalamikia vyakula na aina ya maisha. Mwanaume pia anaanza kupata uwoga wa kupata watoto na kuanza kujisikia kupata watoto nje ya ndoa.
Kumpata mwanamke wa maisha yako inakuwa ngumu, you’re nobody hata ukimwambia mdada unampenda ngumu kukubali, akikubali hapo itakuwa kavutika na pesa zako tu.
Kama utakuwa njema mfukoni, wadada watapigania kupata your attention, making the selection of wife material very difficult.
Kuoa katika umri mkubwa ni kwamba utaweza kwenda sambamba na watoto wako because of generation gap. Wewe utakuwa analogue watoto wako watakuwa digital.
Kuna uwezekano wa kumwacha mke wako akiwa mjane, wewe kutangulia mbeleya haki. Ananza kulipa school fees kwa pesa za pension.
Wapendwa wana YANAYOJIRI, mnakubaliana na mimi?Kama unakubaliana na mimi ongeza madhara mengine ya kuchelewa kuoa/kuolewa