Aibu tupu ndugu zangu, "kama ndio hivi si ndugu yangu wala mke wangu mtarajiwa nitaruhusu afanyiwe kitchen party" alitamka maneno hayo kwa uchungu mdau mmoja wa UMATI alipoona video hii. Kamera za Yanayojirisasa zinazomulika pande zote za dunia, hivi majuzi zilinyaka video chafu za sherehe ya kumfunda bibi harusi mtarajiwa maarufa kama "kitchen Party" maeneo ya fulani ya Kinondoni. Inasemekana baada ya kulewa pombe kali aina ya Konyagi, mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina moja la "Eliza" na wenzake walianza kucheza mziki na baadae kufikia hatua ya kuvua nguo na kuacha nyeti zao hadharani. Waandishi wa blog hii walipata nafasi ya kuzungumza na wadau mbalimbali wa NGO wanahusika na maswala ya maadili mema mfano (UMATI) ambao walionesha kutoridhishwa na hali hiyo na kuahidi kulitafutia Ufumbuzi swala hilo kwani matukio haya yamezidi katika sherehe za namna hiyo. " Mmoja kati ya walimbwende hao wasio na haya hata kidogo alidai kuwa, bibi harusi anapaswa kufundishwa namna ya kumpa vyema "chakula cha Usiku" mumewe. Swali la kujiuliza ndugu zangu Je, kuonesha tupu ndio namna pekee ya kumfunda bibi harusi namna ya kuhudumia ndoa yake? Tunaomba Wizara husika katika nchi iyaone haya na kuyafanyia kazi ili kuokoa kizazi kijacho.
TAZAMA VIDIO HII
TAZAMA VIDIO HII
video nyingine bofya hapa