Habari zilizojiri hivi punde, kuna kitoto kichanga kimeokotwa mwa mto eneo la kigogo jijini Dar es Salaam. Mashuhuda wa tukio hilo wamesema kwamba kichanga hicho kimeokotwa na jamaa mmoja ambaye anajulikana kwa jina la Muddy. Jamaa huyo akiwa na wenzake wachimba mchanga waliona watu wakitupa kitu mtoni kikiwa katika mfuko. Jamaa huyo baada ya kwenda kucheki ni nini kilikua katika mfuko huo ndipo walikutana na kichanga hicho ammbacho kinaonekana kimetolewa kwemye miimba ambayo alikuwa haijafikia wakati wa kuzaliwa. Kichanga hicho kinakadiliwa kuwa cha umri wa miezi sita au saba hivi. Baada ya kuokota kichanga hicho Muddy alipeleka report kituo cha polisi, na hadi waandishi wetu wanaileta habari mezani watu wawili wanashikiliwa kwa mahojiano.
February 17, 2014
INASIKITISHA.!!! MCHIMBA MCHANGA AKOTA KITOTO KICHANGA KILICHOTUPWA HUKO KIGOGO
07:11:00
KITAIFA