Kwa habari za Uhakika kabisa toka uko Pasua Moshi ni kwamba yule Mkurugenzi mkuu matata sana wa Bodi ya Kahawa MOshi ndugu Adolph Kumburu juzi Jumapili alifumaniwa na mke wa mtu uko Moshi na Kupokea Kichapo heavy sana kabla ya kunusuriwa na Police wa kitua kidogo cha Mabogini.
Jambo la kushangaza ni police wa kituo cha mabogini kupokea Rushwa toka kwa ndugu Kumburu na kisha kumwachia huru,kweli maskini hana Haki kabisa.Tukumbuke ndugu Kumburu amekuwa ni mtu ambaye amelalamikiwa sana na wafanyakazi wake kwa kuwanyanyasa na hata kuwafukuza kazi wafanyakazi ovyo,Amekuwa mtu ambaye hujipachika madaraka makubwa sanaa hata yanayozidi bodi ya wakurugenzi.Serikali bado imekaa kimya sana kupitia migogoro mingi sana ambayo Kumburu amekuwa chanzo.