Bwana Mbowe baada ya gari lake kugonga mwendesha pikipiki na yeye kukodi gari nyingine na kumtelekeza mwendesha pikipiki akiwa na Maumivu Makali sana na yeye Mbowe kuendelea na ziara yake, wananchi Wa Esau kuwa kiongozi huyu kumbe Hana huruma kabisa, na wamesema Leo watafurika kumshuhudia kiongozi katili na Wameapa kumuuliza maswali bila kujali kwamba yeye Mbowe amewaandaa Redbrigade kuwatisha au kuwadhuru wananchi watakaothubutu kumuuliza maswali kiongozi huyo , maswali yaliyozuiliwa ni kuhusu zitto na lile la ajari. Taarifa hizi tumezipata kutoka kwa viongozi wetu waadilifu ndani ya Chadema kutoka Geita.