Nimeshitushwa na maneno ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa alipokua akiwahutubia wananchi wa Iringa kuwa Mabomba ya gesi inayochimbwa Mtwara yanaelekezwa Ulaya badala ya kuelekezwa kwa wananchi wa Mtwara. Ameeleza hayo bila kufafanua ukweli wa jambo hilo.