Jamani napenda kujitokeza hadharani tena peupee na kukiri mbele yenu kabisa kuwa,mimi ni mwanafunzi wa Kidato cha Tatu niliyefaulu kwa Mbinde lakn mwaka huu umekuwa wa neema kwangu.Nimeingia F3 kwa alama ya F lakini kichwani hazimo kabisa.JE NITAKAPOFIKA F4 NITAFAULU KWELI? KIUKWELI MGEJUA MAMBO YANAYOJIRI SASA KICHWANI MWANGU!!!!!!!   KWA MUUNDO HUU LAZIMA NIPATE DIVISION 5