Rose Ndauka ambaye ni mama anayetamba
ndani ya filamu za kibongo hivi karibuni alijifungua mtoto wa kike na
kumpa jina la Naveen. Upekuzi wa mtandao huu umefanikiwa kuinasa
picha ya Naveen ikiwa mtandaoni kama inavyoonekana hapo
chini....
Siku chache baada ya kujifungua, Rose Ndauka aliwaonya
wasanii wa kike kuachana na biashara ya utoaji mimba kwani ni kinyume
cha maadili ya mtanzania.
January 27, 2014
ROSE NDAUKA AMWANIKA BINTI YAKE "NAVEEN" HADHARANI
03:19:00