Moja ya Nguzo za Azimio la Arusha la mwaka 1967 ni kutaifisha vyanzo vyote vya Uchumi ikiwamo Mabenki, Mashirika ya Bima, Vyuo & Shule binafsi swali ni kwamba kwa nn hakutaifisha Shule za Seminari za Kanisa Katoliki? Je ni uonevu kwa taasisi zisizokuwa Katoliki? TAFAKARI