Katika hali ya kushangza uzinduz wa kampen za ccm jumapil 26 jan a.bzimetawaliwa na matus ya ajabu sana.
Kwanza kabla ya kueleza matus hayo,nianze kwa kueleza mahudhurio ya watu ambapo wamefanikiwa kuwasomba watu kwa magar hasa kina mama na mabaloz wao kutoka sehem mbalimbali.
Baadhh niliowaona ni baloz wa ccm kutoka kata ya oleiren lazaro john,anakotoka meya wa kichina, gaudence lymo.wakinamama hao ambao wamekodishwa kutoka kata ya oloirien,moshono,terat na monduli waliandaliwa vit vya kukaa.
Waliingia kina mwigulu bila shamra shamra zozote ambapo ni pikipik tu baadh zimemsindikiza huku yakikosekana hata magar..
Mh alipocmama yaan mwigulu,alianza moja kwa moja kuwaponda vijana waliofika hapo kwa kuwaita wanywa viroba kwa kukubalo kuishabikia chama na viongoz wa cdm ambao cku zote wanawalisha vijana viroba.' bila viroba hamwez kufanya lolote.
'nyie vijana mmepotea kwa kushabikia chama kinachowanywesha watu viroba,hawana jipya wale.' machalii mnanyweshwa viroba' watu wote kimya....
Cdm hawastahil kuheshimiwa..kila cku nawaambia nyie machalii,mtakufa kwa chama cha kunyweshwa vroba.
Nyie machalii,hebu fikirien,' miaka 3 chadema imeua watu zaid ya kumi kwenye mikutano yao..' (wanashangilia kina mama wa3 tu). Hv cdm nalo ni chama? Hawa watu wanaua kila mara,utadhan wamejpaka damu.
'wamejpka damu hawa,na watu wakifa wengi,ndo wanapata fedha nyingi za wafadhili.tungekuwa na macho ya kiroho,tusingeshabikia hili lichama na lisingekuwepo kbs.
Chaguen Daudi..
Wakat naendelea kuandika,wakaja viongoz wa ccm watatu wakanizingira,wakaniuliza,mi fulan,we je nan..nikamwambia,ndo utaratb wa mktn wenu kila m1 kutaja jina? Akajb mzee m1 hapana,tumekuona unaandikaandika,we mwandishi wa wapi...? Nikamwambia kwan mwandishi haruhusiw hapa? Mwingne akajb tupe kitambulisho...nikawajib,chann kwan nmeua? Sitoi..tupe namba zako...nikamwambia sikupi..wakataka kuondoka wakarud tena..et usije ukaandika vibya,kuna maneno mengine hayafai kuandikwa...nikawaambia kama hayafai kwann kiongoz mkubwa wa serkal anayatamka hadharan? Watu wakawa wananiangalia..wataka tena namba zangu,nikadai kwanza zao wakanipa,nikawapa na zangu..wakaenda.
Muda huo mwigulu alikuwa akiporomosha matusi na nayaandika yote bila kuchuja.
1.docta slaa aliiba pesa za kanisa,akaja kwenye siasa.
2.halaf haka kazee hakana aibu,alimweka mwanafunzi na mwanakwaya wake mimba..
3.mkit wake nae anakula wengine,mpk mb wa vit maalum akahama kwake.
4.wahun hawa,kale kazee kakilala tu kakiamka ni wanawake.chama la hovyo kbs.
5.mgombea wake nae ana mahawara 7.

Ndg wana jf hayo ni baadh ya matus ya mwigulu aliyotukana hadharan jpo mengn ckuyanot kwa kusimbiliwa kila kona..
Kwa kifup hakuna sera ndg zangu,kidog mgombea aliongea japo nae aliikandia cdm na kusema uongo et alivamiwa na vijana wa cdm mia2 na kumpiga vbaya..wakt pale alipocmama alikuwa fit kbs..vjana mia2 wakuache hai kweli?.

Aliahid ahad nyng utadhan ana muda wa kuyatatua kama rais wake..ahad ni kama,kuwapa wakina mama mikopo,kujenga barabara,maji tele,zahanat safi.
'nichaguen mnanijua,elim yangu ndogo japo nafundisha sekondar,na nilisoma hapa mjin(bila kutaja shule).
Wakina mama,mjiandae...nakuja kwa kasi...
Hayo ndiyo niliyofanikiwa kunasa katk wakt mgum kwa kutishiwa.