Pages

January 26, 2014

Tanzania yaiomba Uingereza msaada wa mabehewa na injini za treni ambazo haizitumii lakini ni nzima.

  SERIKALI ya Uingereza inatafakari ombi la Tanzania la mabehewa na injini za treni, ambayo nchi hiyo haizitumii tena, lakini bado ni nzima kwa ajili ya kusaidia kuimarisha usafiri wa reli katika Tanzania na hasa wa Jiji la Dar es Salaam.Ahadi hiyo ya Uingereza ilitolewa na Naibu Waziri Mkuu wa Uingereza, Nick Clegg wakati wa mazungumzo yake na Rais Jakaya Kikwete kwenye hoteli ya..