Aliyekuwa mpenzi wa rapper Lord Eyez,
mwanamuziki Rehema Chalamila aka Ray C amezungumzia kuhusu sakata la
wizi linalomkabili rapper huyo ambaye ni member wa group la Nako 2 Nako
Soldiers.
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram Ray C amefunguka kama ifuatavyo:
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram Ray C amefunguka kama ifuatavyo: