Pages

February 09, 2014

NAY WA MITEGO NA MPENZI WAKE MAMBO MOTO MOTO AMNUNULIA MKOKO WA NGUVU



True Boy Aonyesha upendo alio nao kwa mpenzi wake kwa kumnunulia gari .....check hapa chini:

SAMUEL ETOO ANASWA AKILA UTAMU NDANI YA SWIMMING POOL,,, CHEKI HAPA!


 Mchezaji Mahiri kutoka Africa ambaye ni mchezaji namba moja anayelipwa pesa nyingi katika Mchezo wa Mpira wa Miguu DunianiSamuel Eto’O ambaye kwa sasa anakipiga katika Club ya Uingereza Chelsea, ameoa Mrembo kutoka nchi ya Ivory Cost aitwaye Georgette Eto Fils na wamejaaliwa Kupata watoto Watatu.mke wa eto.5Georgette anaishi nchini Ufaransa na watoto wake hao. wakati wa ziara ya mapumziko nchini marekani Mama huyo wa watoto watatu aliweza kukaa utupu mbele ya kadamnasi na kupelekea kupigwa picha kadhaa.

KUANGALIA HIZI PICHA NI LAZIMA UWE NA UMRI WA KUANZIA MIAKA 18

CHEKI MAPICHAZ YA BIDADA MREMBO JOKATE KATIKA MAPOZI MBALIMBALI,,,,!!!

BAO 5-1 ZAMCHANGANYA ARSENE WENGER,,,, APIGA MWELEKA WA HATARIIIII....!!!

Kipigo cha bao tano cha jana kilimchanganya kabisa Arsene Wenger mpaka akapiga mweleka wa nguvu alipokuwa anaondoka katika mjio huo baada ya kutembezewa kichapo hicho ...Aibu ya Mwaka kwa Arsenal!!!!

PATA KUTAZA PICHA MATATA ZA DEMU WA JAGUAR,,,,! NI MREMBO ATI,,,,!

  Rumours have it that this rising Kenyan singer , Vivian is Adating Jaguar and set to walk down the aisle soon. She is known for her song ,My Dream  featuring Jaguar.




BABU AYUBU AMEFUNGUKA SAKATA LA DIAMOND PLATNUMZ KUTUHUMIWA UCHAWI,,,, SOMA HAPA!

Diamond Platinum.
Msanii nguli  katika kuiga sauti za watu maarufu  MC Babu Ayoub aliyewahi kutamba na wimbo wa chaja ya kobeameibuka na kusema mkali wa ngololo Diamond si mchawi.
Mkali huyu wa kibao cha chaja ya kobe  ambaye pia aliwahi kushiriki katika wimbo wa ndiyo mzee wa Prof.J alifunguka mbele ya mwandishi wetu.


Msanii nguli  katika kuiga sauti za watu maarufu  MC Babu Ayoub.
Alisema “Diamond si mchawi ila anajithamini kama msanii,anajua umuhimu wake anajitambua na hata kama hajitambui basi anawashauri wazuri kwa maana ya menejiment.anajituma kwani anajua kucheza na muda na yuko kibiashara zaidi si kama wasanii wengine waliowahi kuhit,jamaa najua pia kucheza na media ,ukimpa nafasi hafanyi makosa.
Aidha msanii huyu anayetegemea kuja na kibao chake kipya amedai msanii Diamond ana haki ya kuwa hapo alipo lakini pia itakuwa ni fundisho kwa wasanii wengine waliohiti na watakaohit

HUYU NDO DEREVA MWANAMKE WA BASI LA NDENJELA COACH AWA KIVUTIO KWA ABIRIA WA SAFARI ZA MBEYA KWENDA DSM

DEREVA NUSURA MAGULUKO 28 AKIMWOMBA MUNGU KABLA YAKUANZA SAFARI
SASA HAPA YUPO KAZINI
BAADHI YA ABIRIA WAKIFURAHIA MWENDO MZURI WA DEREVA NUSURA MGULUKO


ABIRIA WAKIPATIWA HUDUMA YA VITAFUNWA NDANI YA BASI HILO LA NDENJELA
WAFANYAKAZI WA BASI LA NDENJELA KABLA YA KUANZA SAFARI

MABASI YA NDENJELA NIYAKISASA YANAFANYA SAFARI ZAKE MBEYA  DSM KILA SIKU

MH. LOWASSA AKANA UMILIKI WA KURASA ZA MITANDAO YA KIJAMII

Kumekuwa na kurasa (accounts) mbalimbali zenye jina la Mh.Edward Lowassa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri yaMuungano wa Tanzania katika mitandao ya kijamii Kama vile Facebook,Twitter,Instagram nk. Zinazoonye kuwa mmiliki wake ni Mh. Edward Lowassa. Ukweli ni kwamba hizo kurasa zote hazimilikiwi na Mh. Lowassa. Kwa maana hiyo chochote kinachoandikwa au kuchapishwa kwenye kurasa hizo,hazihusiani kwa namna yoyote na Mh. Lowassa. Hata hivyo Mh. Lowassa anawashukuru wote wenye kumiliki account hizo bila ya ruhusa yake, kwani anaamini wamesukumwa na mapenzi yao kwake. Imetolewa na  Ofisi ya Mh. Edward Ngoyai Lowassa 

Mbunge wa Jimbo la Monduli.

February 07, 2014

KOMBE LA DUNIA...!!!! Mashabiki wa Brazil na Uingereza waonywa


Wachezaji mashuhuri katika ligi za soka za Uingereza na zile za Brazil wanajiunga na kampeni ya kuwaonya mashabiki dhidi ya kuwatumia makahaba watoto wakati wa michuano ya kombe la dunia nchini Brazil baadaye mwaka huu.
Wachezaji wa kilabu ya Chelsea Frank Lampard,Oscar na Ramirez wanaunga mkono kampeni hiyo inayoshirikisha kitengo cha kukabiliana na uhalifu nchini Uingereza pamoja na serikali ya Brazil.
Kampeni hiyo inawaonya wafuasi wa Uingereza kwamba watakabiliwa na tisho la kushtakiwa iwapo watalipa ili kulala na wasichana walio chini ya umri 18.

Taifa la Brazil linakadiriwa kuwa na nusu ya milioni ya idadi makahaba watoto wanaosimamiwa na na magenge ya uhalifu na kuna hofu kwamba idadi hiyo itaongezeka wakati wa michuano hiyo.

KIFO CHA KANUMBA,,,, KESI YA LULU KUSIKILIZWA UPYAA!

KAZI inaanza tena! Supastaa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ anapanda katika kizimba cha Mahakama Kuu ya Tanzania kwa yale madai ya kumuua bila kukusudia, aliyekuwa nyota wa muvi nchini, marehemu Steven Charles Kanumba ‘The Great’. 
 
Supastaa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’.
Akizungumza na gazeti hili juzi jijini Dar es Salaam, mtoa habari ambaye aliomba hifadhi ya jina alisema kuwa, Februari 17, mwaka huu, staa huyo atatakiwa mahakamani hapo kwa ajili ya kesi yake kuanza huku akisema, kuna mabadiliko kidogo katika kusikilizwa kwa kesi hiyo.

Marehemu Steven Charles Kanumba ‘The Great’.
ITAKUWAJE?
Kwa mujibu wa mtoa habari huyo, Lulu mwenye umri wa miaka 18, atasomewa upya mashitaka dhidi yake ambapo atatakiwa kujibu tena kama anakubali aliua bila kukusudia au la!
“Elizabeth (Lulu) atasomewa upya mashitaka ya kumuua Kanumba bila kukusudia.
“Ataulizwa ni kweli au si kweli? Atatakiwa kujibu swali moja kati ya hayo mawili, kama ni kweli atasema kweli kama si kweli atasema si kweli,” kilisema chanzo hicho huku kikisisitiza jina lake lisichorwe gazetini.
 
MUDA WA KESI SIKU 730
Habari zaidi zikadondokea Dawati la Risasi Jumamosi na kusema kwamba, kesi hiyo itaendeshwa kwa siku mia saba na thelathini (730), kwa maana ya miaka miwili hadi hukumu itakapotolewa.
 
NI NDANI YA SHERIA MPYA
Katika Siku ya Sheria Duniani iliyoadhimishwa jijini Dar es Salaam, Februari 3, mwaka huu, Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman alisema kuanzia sasa kesi zote za jinai zitatakiwa kumalizika katika kipindi cha miaka miwili.
Kesi ya Lulu nayo ni ya jinai na kwa sababu hiyo, hadi Februari ya mwaka 2016 itatakiwa iwe imemalizika.


 
Wakili wa Lulu, Peter Kibatala.
WAKILI WAKE
Chanzo hicho kililithibitishia gazeti hili kwamba, Lulu atatetewa na yuleyule wakili wake mwenye ‘ngekewa’ ya kuwatetea watu maarufu nchini, Peter Kibatala.

Kibatala ameshawahi kuwa wakili wa Mbongo Fleva, Isaac Waziri Makuto ‘Lord Eyez’ katika kesi ya madai ya kuiba ‘power window’ za gari la msanii mwingine wa Bongo Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’.
Pia aliwahi kumwakilisha wakili mwezake, Mabere Nyaucho Marando kwenye kesi ya Mbongo Fleva, Judith Wambura ‘Jide’ alipoburuzwa kortini na uongozi wa Clouds Media Group baada ya Marando kuwa na udhuru.
Ilibaki kidogo awe wakili wa Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu katika kesi ya kumpiga makofi meneja wa hoteli moja (jina tunalo) iliyopo Kawe Beach, Godluck Kuyumbu lakini akakosa sifa baada ya shauri hilo kusiklizwa Mahakama ya Mwanzo Kawe, Dar. 
HAWA HUENDA WAKAITWA
Kwa mujibu wa mtoa habari wetu, katika kesi hiyo huenda wakaitwa watu ambao watasaidia kutoa ushahidi.
Watu hao ni wale waliokuwa na ukaribu na marehemu, hasa siku ya tukio au kushirikishwa kwa namna moja au nyingine kwa jinsi ambavyo waendesha mashitaka wataona.
 
DOKTA KIDUME
Aliyekuwa akimtibu Kanumba, Dokta Kidume anaweza kufika mahakamani hapo kwa sababu ndiye aliyekuwa mtu wa pili  kufika kwenye chumba cha marehemu mara baada ya kuanguka.




Mdogo’ wa marehemu Kanumba, Seth Bosco.
SETH BOSCO
Huyu ni ‘mdogo’ wa marehemu Kanumba, yeye siku ya tukio alikuwa nyumba moja na marehemu, ila vyumba tofauti. Ndiye aliyemwona Kanumba akiwa katika hali mbaya baada ya kutoelewana na Lulu na kukimbia kumwita Dokta Kidume.  

Hawa wote walishahojiwa na Jeshi la Polisi Tanzania katika Kituo cha Oysterbay, Dar, mara baada ya kifo hicho. Seth alihojiwa mara tano. 
TUJIKUMBUSHE
Kanumba alifariki dunia Aprili 7, 2012 nyumbani kwake, Sinza jijini Dar es Salaam. Kifo chake kilidaiwa kilitokana na kuangukia sehemu ya nyuma ya kichwa na hivyo kuufanya ubongo kutikisika (brain concussion).

Hata hivyo, baadaye ilifahamika kuwa, sehemu ya maini na majimaji ya machoni vilipelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali ili kubaini endapo kulikuwa na sumu au kitu kingine katika mwili wa Kanumba. Majibu hayajatoka hadi leo. 
WAKILI KIBATALA
Risasi Jumamosi lilimsaka Wakili Kibatala kwa njia ya simu ili kumsikia alichonacho kufuatia kesi ya mteja wake kuanza kusikilizwa ambapo alisema:
“Tutakutana mahakamani jamani, kwa sasa niko bize sana.”
 
LULU
Juzi, simu ya Lulu ilipigwa kwa muda mrefu lakini haikupokelewa huku baadhi ya watu wake wa karibu wakisema kuwa, staa huyo ameasisi tabia mpya ya kutopokea simu zenye namba ngeni machoni mwake.

BALAAAA....!!! MWANAKWAYA ANASWA LIVE USIKU MNENE AKIJIUZA....AMA HAKIKA DUNIA IMEKWISHA...SOMA ZAIDI HAPA....!


Ni aibu iliyoje? Mwanadada ambaye amejitambulisha kuwa ni msomi wa chuo kikuu (jina lipo) ambaye pia ni mwanakwaya chuoni hapo aliyejitaja kwa jina moja la Rei ameaibika baada ya kunaswa usiku mnene akijiuza, Risasi linaifumua. 
Mwanakwaya,msomi wa chuo kikuu (katikati), aliyejitaja kwa jina moja la Rei.

Rei alikamatwa katika msako wa polisi katikati ya Jiji la Dar (City Center) hivi karibuni akiwa na kundi la warembo wa vyuo mbalimbali wakifanya biashara haramu ya kuuza miili. 

Mrembo huyo ambaye Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers ilimshuhudia, kabla ya kupelekwa kituo kikuu  cha polisi, Wilaya ya Ilala (Central),  alijitetea kuwa yeye ni denti wa chuo kikuu hivyo kitendo cha kupigwa picha alijua kabisa kuwa zitasambaa mitandaoni hivyo itakuwa ni aibu kubwa.

Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers wakichukua picha.
“Kaka naomba usinitoe gazetini au mitandaoni, haya ni maisha tu, itakuwa aibu kwa wanachuo wenzangu,” alijitetea.
Mbali na hayo, mrembo huyo wa haja alikuwa akihaha kuwa kama ishu hiyo itamfikia mchungaji wake, basi hatakuwa na sehemu ya kuficha uso wake.
Pia Rei alijitetea kuwa huwa hajiuzi kila siku na hiyo ilitokea tu kwa bahati mbaya kwani ana biashara zake binafsi.

Alipoulizwa na ‘kachero’ wetu juu ya kanisa au kwaya anayoitumikia alikataa kutaja kwa madai kuwa atalichafua kanisa.
“Wewe ujue tu mimi ni mwanakwaya, hayo mambo ya kwaya na kanisa sitaki kulichafua jina la Mungu,” alisema.

 
Mwanakwaya,msomi wa chuo kikuu (katikati).
Kwa mujibu wa polisi wa doria waliowanasa warembo hao walidai kuwa Jumatano iliyopita watafikishwa katika Mahakama ya Jiji la Dar (Sokoine Drive) chini ya Hakimu Mkazi, Timothy Lyon kwa kosa la uzururaji kwa kuwa hakuna sheria ya moja kwa moja juu ya ukahaba.

WEMA, AUNT, KAJALA WAFANYA MASHINDANO,,,, WAANZIA KWENYE MIDOMOWAMALIZIA KE=WENYE MAUNO,,, CHEKI HAPA!

 MADIVAS waBongo Movies, Wema Sepetu, Kajala Masanja na Aunt Ezekiel wamenaswa wakishindana uzuri wao kuanzia kwenye midomo hadi katika uwezo wao wa kukata mauno.
 
...Wakiwa katika picha ya pamoja.
Uwanja wa ‘mashindano’ ulikuwa ni pande za Arushawalipokwenda kwa ajili ya kumtambulisha msanii anayepiga mzigo  kwenye lebo ya Wema, Endless Fame, Miraji Hussein ‘Mirror’.
Weekly Star Exclusive ilishuhudia tukio zima ambapo mastaa hao walianza kufanya vituko hivyo ndani ya Hotel ya Point Zone iliyopo jijini hapo, kamera ya paparazi wetu iliwamulika wakishindana kumpata staa mwenye mdomo mzuri kuliko wenzake.
Waligusanisha vichwa na kisha kujitazama katika kioo kisha kuanza kutambiana huku kila mmoja akidai yeye ndiyo mkali kuliko mwenzake. Hawakuishia hapo, walisimama na kuonesha uhodari wa kukata mauno na kudai  wataumalizia mpambano huo katika Ukumbi wa Tripple A.

 
...Wakicheza na Mirror.
“Mnanionaje? Nataka kujua nani zaidi katika yetu hapa au ngoma droo nataka kujua hilo jamani? Kama hapa droo, kivumbi zaidi ni huko ukumbini,” alisika Wema.

 
Mastaa hao wakiwa stejini ndani ya Triple A.
Mastaa hao walipofika katika Ukumbi wa Triple A, waliendeleza mpambano huo ambapo mashabiki walipagawa na kutoa maksi kwa kupiga kelele za shwangwe kila walipokuwa wakikatika huku wakimwagiwa noti.

SHAROBARO AFUMANIWA NA MKE WA MTU NDANI YA GARI BOVU,,, ONA PICHA HAPA

Balaaa Arobaini (40) za mke wa mtu zimetimia baada ya kunaswa ndani yagari akifanya uzinifu na kijana mmoja mtanashati ‘Sharobaro’ aliyejitambulisha kwa jina la Athumani (26) maeneo ya Bamaga Mwenge, jijini Dar. 
Sharobaro baada ya kufumwa na mke wa mtu.
Tukio hilo lilitokea usiku wa manane Februari 4, baada ya mke  huyo aliyetambulika kwa  jina moja la Husna na sharobaro wake kujiingiza kwenye mtego wa OFM na kunasa wazimawazima.
Awali, OFM ilipata malalamiko kutoka kwa majirani zake kwamba pamoja na kufanya kazi nzuri ndani na nje ya Dar lakini imeyasahau maeneo ya karibu na makao yake makuu, hivyo kutakiwa kuyafanyia kazi haraka.
Sharo akiwa na aibu baada ya kunaswa akijivinjari na mke wa mtu kwenye gari bovu.
“Jamani  OFM si mnafanya kazi kila siku hapa Dar na mikoani kiasi cha kujizolea sifa kemkemu? Sasa mbona hapa maeneo ya Bamaga mnapasahau? Tunapata tabu wakazi wa hapa, wanawake wanaojiuza wanafanya mapenzi kila kona hatuna raha,” alisema mkazi mmoja wa maeneo hayo aliyeomba hifadhi ya jina lake.
Gari bovu walimokutwa wawili hao.
Baada ya kupata taarifa hizo na kuzifanyia uchunguzi yakinifu, OFM ilijipanga na kuweka mtego wake.
Mtego huo uliwekwa maeneo yote yanayodaiwa kutisha kwa vitendo hivyo huku ikitoa taarifa Kituo cha Polisi Kijitonyama ‘Mabatini’.
Ilipotimia saa 7 usiku makamanda wa OFM waliokuwa kazini walimshuhudia mteja mmoja akimnunua changudoa na kuingia naye ndani ya gari moja bovu lililopo maeneo ya Bamaga karibu na kituo cha daladala kisha wakajifungia.
Mke wa mtu baada ya kunaswa na sharo.
Haraka makamanda wa kikosi hicho waliwasiliana na polisi na kuwapa dakika chache wazinzi hao ili waanze kufanya yao, baada ya muda huo kutimia,  OFM waliwavamia na kuwanasa.
Mara baada ya kunaswa na kutakiwa kuvaa nguo zao, Sharobaro aliomba asipelekwe polisi na kuapa kutorudia tena huku akimtupia lawama zote mwanamke aliyekuwa naye na kudai  kwamba tangu mwanzo alikuwa na wasiwasi juu ya ‘kufurahishana’ karibu na makao makuu ya ofisi za OFM.
Baadhi ya kondom zilizotumika zikiwa eneo hilo.
“Jamani naomba msinipeleka kituoni, sitarudia tena kufanya mapenzi maeneo haya. Mkamateni huyu mwanamke ambaye ndiye aliyenileta hapa wakati tangu mwanzo moyo wangu ulikuwa unasita,” alisema.
Naye mwanamke huyo alisema kuwa kukamatwa kwake ni kama ajali kazini kwa kuwa tangu aanze biashara hiyo amekamatwa mara nyingi lakini si katika mazingira kama hayo.
Mke wa mtu akitolewa kwenye gari bovu baada ya kunaswa akiwa na sharo.
“Jamani nimekamatwa mara nyingi sana lakini siyo katika mazingira ya aibu kama haya, hata mwenyewe sijapenda,” alisema mwanamke huyo.
Hatimaye wote wawili walichukuliwa na polisi na kupelekwa kituoni na  kufunguliwa jalada la kesi KJM/RB/ 1081/2014.
Hata hivyo, taarifa tulizozipata wakati tukienda mitamboni kutoka kwa msichana anayedaiwa pia ni changudoa zilidai kuwa, mwanamke huyo ni mke wa mtu na amekuwa akiingia ‘viwanja’ mumewe akiwa nje ya Jiji la Dar.
“Yule dada mbona ana mume wake, yaani kama ni kuumbuka ameumbuka. Jamaa yake huwa anasafiri na yeye hapo ndipo hupata muda wa kutoka,”

February 06, 2014

SHERRY MAGALI AUGUA, AKONDA

STAA wa filamu za vichekesho Bongo ambaye ni mtoto wa Mzee Charles Magali, Sherry Charles Magali ana hali mbaya na sasa ukimuona huwezi kumtambua kama ni yeye.

Sherry Charles Magali kabla ya kukonda.
Hali hiyo imekuja kutokana na maelezo kuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo kiasi cha kumfanya akonde sana na lile wowowo lake lililokuwa likimtambulisha kwenye usanii kupotea.
“Yaani sina hata la kusema kwani najikuta napata aibu kwa sababu watu wananishangaa sana, moyo unauma, najitahidi kutumia tiba mbalimbali lakini naamini nitapona,” alisema Sherry.