Pages

February 06, 2014

JACK CHUZ ASHANGAA KUKOMALIWA AMZALIE MUME,,,, WAMHOJI INAKUAJE MWAKA UNAKATA HAJAPATA MIMBA!

 Msanii wa filamu za Kibongo, Jacqueline Pentzel ‘Jack Chuz’ amewapa makavu laivu baadhi ya watu wanaoshangaa na kuhoji inakuwaje anatimiza mwaka mmoja ndani ya ndoa bila kuzaa.
Akizungumzia maneno ambayo amekuwa akiyasikia kutoka hata kwa watu wake wa karibu wakiwemo wasanii wenzake, Jack alisema anawashangaa kwa kuwa wanashindwa kujua kwamba kuolewa ni sheria lakini kuzaa ni majaliwa.
“Ni kweli ndoa yangu keshokutwa tu inatimiza mwaka mmoja lakini nawashangaa wanaohoji kutokuzaa kwangu, wao wako nje ya ndoa hawajui mambo yanaendaje, wakiingia watajua kuwa kuzaa ni majaliwa ya Mungu,” alisema Jack.

MTEGO WA KUJIUZA ALIOWEKEWA WAMBADILI BABY MADAHA,,,,,, SOMA HAPA!

BAADA ya mwanamuziki Baby Joseph Madaha kunaswa na mtego wa kujiuza aliotegewa hivi karibuni, bidada huyo anaonekana kubadilika na anadai mgogoro uliojitokeza kati yake na meneja wake, Joe Kairuki kutokana na tukio hilo umekwisha.
Akizungumza  hivi karibuni msanii huyo ambaye ni kati ya wasanii wa kike wanaofanya vizuri alisema, tukio lile limefanya ajifunze kitu na kubadilika kwake kumesababisha bosi wake amsamehe na waendelee kupiga mzigo.
“Kweli nimejifunza kutokana na makosa maana kunaswa kwenye ule mtego kumenigharimu sana lakini nashukuru nimesamehewa na mkataba ninaendelea nao, yale yamepita na sasa ni kazi tu,” alisema Baby Madaha a.k.a The Queenof Swaga.

PICHA CHAFU ZA BIDADA WA WAKUSOMA ZIMEVUJA,,,,, NI SUGAR-DADDY WAKE NDIO ALIYEMCHEZEA MCHEZO HUU MBAYA!!!!


Jina kapuni, ni mwanafunzi wa shule ya sekondari, ST....  , nchini South Africa.
Mwaka jana akiwa anarudi shule pamoja na marafiki zake wawili, likasimama Gari aina ya Range Rover,Akashuka Mzee-Kijana akawasalimia,akawaomba rafiki zake huyu mrembo aongee nae pembeni.

Baada ya kupewa Maneno Matamu na kuhaidiwa kiwango kikubwa cha Pesa,akamkubalia.
Wakakutana Kesho,wakafanya yao.Wakaanzisha Uhusiano wa Kimapenzi ambao ulidumu kwa zaidi ya Miezi 9.

Wiki iliyopita, tulifanikiwa kuzipata hizi picha baada ya kuanza kuvuja kwa kasi kwenye Internet,inasemekana huyu binti kwa Tamaa zake alipata mwanaume mwingine,Mtoto wa Wizara Nyeti kule South Africa,kwa kuwa ana pesa zaidi ya Mzee-Kijana,akaamua aachane na Mzee-Kijana,kisha aanze kudu na Mtoto wa Waziri.

Kitendo kile kikamkasirisha yule Mzee-Kijana,akaamua kuzisambaza hizi picha za huyu bidada akiwa na Nia ya kulipiza kisasi.

Majamboz inawashauri Wanafunzi wote hasa wa sekondari na Chuo,please acheni Tamaa.
Ipo siku kitu kama hiki kinaweza kikakutokea ukakosa pa kuficha uso wako ndani ya jamii.

<<SOMA HAPA KWA HABARI ZAIDI>>

PICHA: (18+),,,, YULE JESKA MTOTO WA MSANII MKONGWE AACHIA PICHA NYINGINE ZA UTUPU MTANDAONI,,,, ZIPIMIE HAPA


Yule binti wa mwanamuziki maarufu nchini Jeska Kikumbi King Kikii ameendelea kujidhalilisha pamoja na kuidhalilisha familia yake baada ya kurusha hewani tena picha zingine mpya zikimuonesha akiwa mtupu tena mtoni huko Kijijini Mwanza.


 Xdeejayz kama kawaida yake imefanikiwa kunasa picha hizo toka kwenye accont ya Facebook ya Jeska ambapo alikuwa ameziachia yeye mwenyewe na kuchukulia kawaida sana.


Hata hivyo kwa mujibu wa chanzo chetu picha hizo ambazo kama zinavyooneka wamepiga kwa hiyari wao wenyewe wala si kulazimishwa au kupigwa bila kujitambua la hasha na walidhamilia kufanya hivyo.
<<WAKUBWA TU,,,, BOFYA HAPA KUONA PICHA HIZO >>

February 05, 2014

UN yalaani sera za kanisa katoliki

Umoja wa mataifa umetuhumu makao makuu ya kanisa katoliki la Vatican kwa kuidhinisha na kutumia sera zilizowezesha mapadre kubaka na kuwalawiti maelfu ya watoto.
Kamati ya umoja wa mataifa ya haki za watoto imesema kanisa hilo linapaswa kuondoa wote wanaokiuka haki za watoto kutoka nafasi za uongozi na kuanzisha uchunguzi dhidi yao.

Kamati hiyo imekiri kuwa japo Vatican imeshiriki mazungumzo na kuahidi mageuzi, bado inahitaji kupiga hatua kubwa zaidi.
Mengi yaliyoandikwa katika ripoti hii yamekuwa yakiangaziwa na vyombo vya habari. Shutma hizo ni pamoja na kuharibu watoto, kuwapa adhabu kali na kuwatenganisha na wazazi wao.
Umoja wa mataifa unasema uongozi wa kanisa katoliki unapaswa kufanya juhudi zaidi ili kuzuia makosa yaliyowahi kutokea.
Umoja wa mataifa pia umesifia marekebisho yalioyafanywa katika sheria za Vatican lakini umesema kwamba utekelezaji unahitajika kwa kasi.
Kwa upande wake kanisa katoliki limekiri kwamba linahitaji kuhakikisha kwamba sheria zake zinaambatana na sheria za umoja wa mataifa kuhusu haki za watoto.
Ripoti hiyo pia imekosoa msimamo wa Kanisa katoliki mapenzi ya jinsia moja,upangaji uzazi na uavyaji mimba.

ICC: What is the fate of the case of Kenyatta?


The fate of the case against President Uhuru Kenyatta at the International Criminal Court ICC, is expected to be decided today Wednesday, when officials will be prosecuted in the court requested additional time to prepare for trial.
Kenyatta advocates hope that the case that has proved divisive among African nations renounced.
African countries have been yakikosoa ICC only targeting African leaders.
The case against Kenyatta is important for the ICC which garnered only one judge while most of the cases appearing in court being quashed due to many reasons only since the establishment 11 years ago.
Analysts argue that the trial may in turn crisis in East Africa if leaders insist the charges will continue.
President Kenyatta was brought to the ICC on suspicion that it was one of the chief suspects of post-election violence in Kenya chief financial year 2007/2008. He faces counts of murder and other crimes against humanity.
Likewise Kenyatta was charged along with his Vice President William Ruto for the same charges. Cases against Ruto continues in court.
Western nations which yanajitolea in support of the ICC, also are concerned about their relationship with Kenya which seems like a great ally in the war against the militant group Al-Shabaab in Somalia.
1,200 people lost their lives in the general election violence in 2007/08, and thousands were forced to flee their homes. Both have denied the charges.
Leaders argue that the ICC prosecute Kenyatta inspired violence but the case against him is made weak from some of the witnesses to withdraw from the case since the case presented in court four years ago.
The case itself was expected to begin Wednesday, but ikaahirishwa for the fourth time last month when prosecutors have said that another witness had pulled out of the case, and they asked the court to give them more time to find evidence.
Prosecute leaders argue that many witnesses have been bribed or intimidated amount to withdraw from the case.

Libyan blast injures six children at Benghazi school


Libyan youths stand next to blood stains and torn shoes at the scene of a blast at a primary school in the Libyan city of Benghazi - 5 February 2014The blast occurred just before 11:00 local time during the children's playtime
At least six children have been injured in Libya in a grenade attack on a school in Benghazi, officials say.
Witnesses say the grenade was thrown over a wall into a private school in the Tabilinu area during a break from lessons.
Benghazi has witnessed a series of bomb attacks and assassinations within the past year, but attacks on schools are rare.
It is not yet known who is responsible for the attack.
A Benghazi resident told the BBC that a family member had seen a man use his mouth to prepare the grenade for detonation.
He then threw it into the school before escaping in a low black car, the eyewitness said.
People were running and screaming after the blast, the resident said.
The blast occurred just before 11:00 local time (09:00 GMT), while the children were outside playing.
A Benghazi security official said the explosion was "weak" and said that police were currently looking for the perpetrators.
Benghazi was the cradle of the 2011 uprising that toppled the 42-year reign of dictator Muammar Gaddafi.
Since then however it has been a hotspot for attacks on public institutions and officials.

South African miners trapped in Doornkop Gold Mine fire

A women walks in a Soweto township overlooking the Doornkop Gold Mine, about 30km (19 miles) west of Johannesburg
Doornkop Gold Mine overlooks Johannesburg's Soweto township

Rescue workers in South Africa are trying to free nine miners still trapped underground after a fire at Doornkop mine west of Johannesburg.
Eight other miners have successfully been brought to the surface, the mine owners Harmony Gold said.
"Efforts continue to establish the whereabouts of a further nine employees who are currently unaccounted for," spokesman James Duncan told the BBC.
The fire began on Tuesday evening about 1,700m (5,600ft) below ground.
Mr Duncan said rescue teams were struggling to access the affected area because of smoke and rock fall.

A miner in Carltonville, South Africa
Mining is vital for South Africa's economy
There is some confusion about how exactly the fire began.
Harmony Gold has confirmed there was some seismic activity in the area.
South Africa's National Union of Mineworkers says this resulted in the collapse of underground rocks which caused the fire.
"It... caused damage to ventilation pipes, electric cables and water pipes. The damage to electric cables triggered fire underground which is still burning," the NUM said in a statement.
The eight workers who were successfully rescued on Wednesday had managed to reach a "refuge bay", where there was compressed air and water kept for such incidents.
The BBC's Andrew Harding in Johannesburg says the nine missing mine workers will be carrying their own packs of oxygen and Harmony Gold hopes they will have made their way to other refuge bays underground.
Our correspondent says the Doornkop mine is just outside the city, on the west rand - a rich but deep seam of gold.
In recent years the majority of deaths underground have occurred in illegal mines, he says.
The Harmony Gold team has left the "Mining Indaba", Africa's largest annual mining conference, being held in Cape Town.
The meeting has been overshadowed by a major strike which is currently crippling South Africa's platinum production.
The mining industry is a vital part of the South African economy.

February 04, 2014

JOKATE AMVULIA KOFIA WEMA ,,,, NI KUHUSU BIFU LAO LA KUGOMBANIA PENZI LA DIAMOND... SOMA HAPA!

WERAWERAA! Staa wa Bongo anayesumbua kwenye mitindo na sinema, Jokate Mwegelo amekubali kushindwa baada ya kumwangukia Wema Sepetu waliyekuwa kwenye bifu la kimyakimya wakigombea penzi la Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.
Tukio hilo la kufungulia mwaka lilijiri wikiendi iliyopita jijiniArusha, katika kiwanja cha kulia bata, Triple A Club ambapo Wema alikuwa akimtambulisha mwanamuziki Miraji Hussein ‘Mirror’ kutoka Lebo ya Endless Fame Production.
BONGE LA SAPRAIZI
Mwandishi wetu ambaye alikuwa katika msafara wa Wema na mashosti zake, Kajala Masanja na Aunt Ezekiel waliokuwa wakimpa kampani, hakumuona Jokate, hivyo alifika pale kwa kushtukiza.
Jokate akionekana mwenye furaha, alipanda jukwaani na kuomba kuzungumza machache ambapo alimkumbatia Wema kwa furaha huku akionekana hana kinyongo.

AKIRI WEMA NDIYE MKE MKUBWA
“Wema ni rafiki yangu na ninampenda kwa dhati... yaliyopita yamepita. Nipo hapa kwa ajili ya kumpa sapoti kutokana na upendo nilionao juu yake. Nakiri  yeye ni mke mkubwa. Nimeamua kumshtukiza ili aone thamani yake kwangu.”
Maneno hayo ya Jokate yalisababisha ukumbi mzima ulipuke kwa kelele za shangwe.

AMWAGA MINOTI
Kama vile haitoshi, huku shangwe zikiendelea, bidada huyo alitoa burungutu la fedha na kuanza kumtuza Wema.

Pia aliwatuza Kajala na Aunt ambao wote kwa pamoja walikuwa wamevaa sare kama kinogesho cha shughuli hiyo.
JOKATE ABANWA
Risasi Mchanganyiko halikuishia kufotoa picha na kuweka gazetini pekee, lilimfuata Jokate na kumwuliza sababu ya kufanya tukio hilo ambapo alijibu kifupi: “Ni upendo tu dadangu.”

Alipobanwa zaidi alisema: “Mimi niliona nikifika kumpa kampani mwenzangu itapendeza sana na sikutaka ajue mapema ili ujio wangu umshangaze. Nimefurahi imekuwa hivyo.”
WEMA SASA!
“Yaani nimefurahi sana kuona Jokate anajua kuwa mimi ni mke mkubwa na ndiyo kila kitu,  nimefurahi kuacha kazi zote kuja kuungana nami, kitu ambacho nimekiona tofauti kwani hatukuwahi kukaa hivyo na Jokate tangu tulivyoingia kwenye mgogoro (wa kumgombea Diamond),” alisema Wema.

WEMA / JOKATE
Upinzani wa Wema na Jokate ulianza kitambo kwani mwaka 2006, Wema ndiye aliyeibuka Miss Tanzania akifuatiwa na Jokate aliyeshika namba mbili huku nafasi ya tatu ikichukuliwa na Lisa Jensen.

SHILOLE SIKIO LA KUFA,,,, AUPOTEZEA USHAURI WA MCHUNGAJI NA KUENDELEZA TABIA YAKE!

STAA wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amedhihirisha kuwa ni sikio la kufa baada ya kusema yeye ni miongoni mwa wanawake wanaojua  kuchuna mabuzi.
Kauli hiyo imechochea vigezo vya kumfanya Shilole aonekane hasikii kwani wiki kadhaa zilizopita mchungaji wa kanisa moja lililopo Ubungo, jijini Dar ambaye hakujulikana jina lake, alimtaka kuishi katika sura ya kumpendeza Mungu lakini inaonekana amempuuza.
Akizungumza na Risasi Mchanganyiko juzi, jijini Dar esSalaam, Shilole alisema alitunga wimbo wa Nachuna Buzi kwa sababu anajua kuwa wanawake wengi ni mafundi wa tabia hiyo akiwemo yeye mwenyewe!
“Unajua mwanamuziki unatakiwa kuchagua wimbo ambao unaigusa jamii nzima kwani mambo ya kuchuna mabuzi kwa wanawake yapo sana, hata mimi mwenyewe ni mtaalamu wa kuchuna mabuzi,” alisema Shilole.
Hata hivyo alisema japokuwa ana tabia hiyo lakini anatambua siyo nzuri hivyo anawasihi wanawake wengine kuachana nayo kwani ipo siku itawaingiza matatizoni.
Mbali na mchungaji huyo, juzi Jumapili,  Mchungaji wa Kanisa la Anglikana, Ukonga –Mazizini, Dar, Emmanuel Kapande alimtumia ujumbe wa watoto wa Shule ya Jumapili (Sunday School) nyumbani kwake kwa lengo la kuimba na kufanya maombi.
Watoto hao walifika nyumbani kwa Shilole, Mwananyamala - Manjunju, wakiwa wameongozana na walimu wao, Jonas Timotheo, Rehema Ezra na Catherine Libogoma.
Ujumbe huo, ulimpelekea baraka ya maombi nyumbani kwake na kumshauri aishi katika mazingira yanayompendeza Mungu.
Katika hafla hiyo, vinywaji baridi vilichukua nafasi yake huku Shilole akipata nafasi ya kuzungumza na watoto hao kisha kupiga nao picha.

Mume wa mtu ni sumu….Binti afumaniwa na mume wa mtu na kupewa kichapo cha mbwa mwizi!

4Sukari hugeuka shubiri pale fumanizi linapochukua nafasi na hiyo ndiyo sababu ya mwanamke anayeitwa Sheila kukiri kwamba mume wa mtu ni sumu kisha kujiapiza kuwa hatarudia tena.
Sheila, alifumwa na mume wa mtu anayeitwa Baba Joyce kwenye nyumba moja ya kulala wageni, iliyopo Manzese.
  Fumanizi hilo lilizua kizaazaa baada ya vurugu kuanza na lilipofika eneo la tukio, lilimkuta mwenye mume, Mama Joyce akimsulubu Sheila kwa makonde, mateke na vichwa.

6521

MTOTO WA KIGOGO AFANYIWA MCHEZO MCHAFU…PICHA ZAKE ZA UTUPU ZIMEANIKWA NA MPENZI WAKE


1Ni  binti  wa  kigogo    mmoja  toka  Moro aliyejitoa  kwa  dhati  kwa  mpenzi  wake, ikiwa  ni  pamoja  na  kukubali  kupigwa  picha  za  uchi  ili  kumchanganya  mtu  wake  asimwache…
Pamoja  na  kujitoa  kwa  kiasi  chote  hiki, mwisho  wa  siku  binti  huyu  alijikuta  akianikwa  mtandaoni  na  jamaa  yake  baada  ya  kumtumia  na  kumtema  kama  bazoka….!!Hapa  kuna  kufundisho  kubwa  kwa  dada  zetu  na  niimani  yetu  kuwa  ujumbe  umefika.
Picha  moja  si  nzuri , ione kwa hapa ,<< BOFYA HAPA >>

AGNESS MASOGANGE NAYE,,,,??? AANZA BONGO MOVIE NA KUFANYA MADUDU...SOMA HAPA

After all stories ku-fade out now ni muda wa Masogange kuingia kazini thou kazi yenyewe imeanza na problems. Fineassgirl kama anavyojiita kwenye instagram ambaye almost kila picha yake kwenye application hii haikosi more than 100 likes kwenda mbele, she was about to make her doubt kwenye movie industry.is a right way kwa Agness “fineass” Masogange kujaribu kutafuta nafasi kwenye movie industry kwasababu kuna video models wengi pande za USA wameweza kufakisha wakianzia kwenye video modeling to movie kama Lauren London.
Bad news ni kwamba bila sababu ya msingi iliyotolewa ni kwamba ilibidi Masogange aigize kwenye movie iliyokuwa inaandaliwa na Nisha Film Company ya actress Nisha lakini the about to be actress haku-show up kwenye location. Sources zinasema kwamba Agnes alikuwa tayari kufanya movie kila kitu hadi mazoezi alifanya na script alipewa lakini hakutokea kwenye location ya movie hiyo.
“Labda alikuwa na matatizo yake binafsi ambayo yamemfanya kushindwa kufika location. Kama imekua nje ya uwezo wake kiasi hiki hakuna jinsi kwasababu kila kitu kilikua tayari ameshaanza kufanya mazoezi hadi ya script. Movie hiyo ingeitwa Zena na Betina labda movie nyingine tena lakini hatufanyi naye tena movie hii” – alisema mdau mmoja wa movie hiyo.

MSANII WA BONGO MOVIE ANASWA AKICHEZEWA NYETI ZAKE MCHANA KWEUPE NA WASANII WENZAKE WACHANGA(18+)


Mmh wimbi la mastaa wetu kuendelea kujishushi hadhi linaendelea kushika kasi kila kukicha huku hakuna sheria zozote zinazochukuliwa dhidi yao.

Msanii nyota toka kiwanda cha bongo movie Edward Tem "Nick" picha zake za utupu zaidi 200 zimenaswa  zikimuonesha akiwa na wanawake zaidi ya watano wakimchezea nyeti zake.

  wiki kdhaa za nyuma iliwahi kushushiwa picha za fumanizi la msanii huyo dhidi ya msanii wake wa kike ambae alifumaniwa nae maeneo ya Kawe Jijini Dar ambapo sakata hili liliishia kituo cha Polisi Hananasifu baada ya msanii huyo kuridhia kumlipa mwenye mke kiasi cha shilingi laki tano.

Chanzo chetu kiliendelea kusema kuwa picha hizi za utupu zilipigwa siku nyingi kabla ya hilo fumanizi na zimevuja kutoka kwenye kamera yake mara baada ya kupotea ambapo blog hii ilifanya jitahada za kumtafuta msanii huyo kupitia simu yake ya kiganjani lakini kwa bahati mbaya hakuweza kupatikana.

Msanii huyo ambae sasa hivi ameachia filamu zake kama Bad Father,The,re ma sons, House Girl na Boss ambapo kati ya filamu hizo moja tu ndiyo iliyopelekwa kampuni ya Pilipili Entertainment ya Bad Father 

tazama picha hizo chafu hapa, zimefichwa kwa sababu ya ishu ya maadili so kama wataka kuziona utakua unazifungua kwa hiari yako... bofya link hizo hapa chini.

BINTI WA MIAKA 14 ATIWA MIMBA NA BABA YAKE MZAZI...SOMA ZAIDI HAPA...!

Wonders shall never end! A man in Lagos has been arrested by the police and charged to court for allegedly having sexual intercourse with his daughter. 36yrs old Jamiu Ajao is said to have had an incestuous relationship with his 14-year-old daughter which culminated in pregnancy. 
“The daughter sleeps in the living room, while her stepmother and the accused sleep in the bedroom. The accused had a carnal knowledge of his daughter and while she was ill, he took her to the hospital for treatment.

“It was during a checkup that it was discovered that the girl was carrying a two-months-old pregnancy.”

The randy father was arraigned before a Magistrate court in the Ebute Metta area of the state and has been remanded in prison.

Ajao is facing a two-count charge of defiling, unlawful and indecent assault before the Magistrates’ Court.

The Chief Magistrate, S.O. Solebo, said Mr. Ajao should be kept behind bars pending advice from the state Director of Public Prosecutions.
He committed the offences sometime between October 23 and December 21, 2013 at his residence.
Sadly, the randy father may be sentenced to life imprisonment if he is convicted for the offence

February 02, 2014

MUIGIZAJI MAARUFU WA HUNGER GAMES NA MISSION IMPOSSIBLE III AFARIKI DUNIA

Oscar-winning actor Philip Seymour Hoffman was found dead in his New York apartment on Sunday.
He was 46.
Law enforcement officials said Hoffman died at his apartment in the West Village neighborhood of Manhattan. No cause of death has been determined but officials suspect the actor may have overdosed on drugs.
According to the Wall Street Journal, the actor was found in his bathroom around 11:15 a.m. by a screenwriter, who called 911, the official said.
Hoffman, who won the best actor Oscar for “Capote” in 2005, most recently appeared at the Sundance Film Festival to promote his new films “God’s Pocket” and Anton Corbin’s “A Most Wanted Man.”
He was also shooting the “Hunger Games” follow-ups “Mockingjay Part 1″ and “Part 2″ in Atlanta.
Last year, the actor completed a 10-day substance abuse program for heroin.

http://t2.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcRVhQnc1043H37tN6FZKgFmXoL_wopM7JBmnzAL1DdwNel_ReZL2uzw7VlFAg

February 01, 2014

AJALI MBAYA YA GARI ILIYOTOKEA DODOMA NA KUUA ASKARI POLISI WATANO PAPOHAPO




SIMBA YAUA UWANJA WA TAIFA YAITANDIKA JKT OLJOLO BAO 4-0 JANA

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjYMWExLQ8OnoVZy0iwc3P5uScTh8WMIA7Hk7ppcOnFW-biATnoeRZCXfjmAyo6dAnwpYkSnN4IucwhmDEQjHFtVnPpFjshKo3OvQZj2vtpOJ5kOVig116iT1fl678FrUaIV8ytnG0erCU/s1600/IMG_7133.JPGKikosi cha timu ya Simba kilichoanza katika mchezo wa Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Oljoro JKT uliofanyika jana tar 01/02/2014 kwenye uwanja wa Taifa
Simba imeshinda 4-0

ONA PICHA ISIYO NA MAADILI ILIYOPOSTIWA DIVA WA CLOUDS FM,,,,

MARLAW: "SINA MPANGO WA KUSHIRIKI KAMPENI ZA KISIASA TENA..ZIMENISHUSHA KIMUZIKI"

Msanii aliyepata kuvuma sana kabla ya mwaka 2010 alimaarufu kwa jina la Marlaw, amejutia uamuzi wake wa kukipigia kampeni chama cha ccm kwani kimemporomosha kimuziki.

"Unajua mimi mwaka 2010 nimeburudisha ktk kampeni za ccm lakini nimeambulia kushuka kimuziki sijui ni siasa imehusika au la kwa sababu toka hapo nimetoa nyimbo nyingi lakini hazivumi tena, sasa sitaipigia ccm tena labda chama kingine si unajua vijana wako wapi mzee ha ha haaa si kwamba nimejitoa ccm hapana mi ni msanii naburudisha watu wote" 

Mwananchi lilipotaka kujua ni chama gani amekilenga kukipigia kampeni kwa malipo alisema bado muda wa kukiweka hadharani.

Wasanii someni alama za nyakati msije jikuta mko njia panda kimuziki huu ni mfumo wa vyama vyama vingi